MSAIDIZI WA HESABU I (ACCOUNTS ASSISTANT I) at Halmashauri ya Wilaya Tunduru February, 2021

JOB TITLE: MSAIDIZI WA HESABU I (ACCOUNTS ASSISTANT I) – 1 POST

POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya Tunduru
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutunza daftari la fedha, matumizi kawaida na maendeleo,
ii. Kutunza nyaraka za hati za malipo,
iii. Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha,
iv. Kuandika taarifa mbalimbali za fedha zilizopokelewa,
v. Kufanya kazi zingine zinazoendana na fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
* Kuajiriwa wenye Stashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au
* Kuajiriwa wenye cheti cha ATEC II inayotolewa na NBAA au sifa zingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.

REMUNERATION TGS C

The deadline for submitting the application is 12 March 2021
CLICK HERE TO APPLY

JOBS

Leave a Reply