FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II at Halmashauri ya Wilaya Tunduru February, 2021

FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II at Halmashauri ya Wilaya Tunduru February, 2021

POST FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II – 1 POST

POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya Tunduru
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-12
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba kupaka rangi na kufunga mabomba;
ii. Kuchonga vifaa vya nyumba za Serikali ikiwa ni pamoja na samani; na
iii. Kufanya kazi za upimaji (survey) wa barabara, majengo na mifereji kama atakavyoelekezwa;
iv. Kuwapangia kazi Mafundi sanifu wasaidizi na kuhakikisha wanamaliza kama ilivyopangwa.
v. Kupangiwa kazi nyingine kutegemeana na ujuzi, uzoefu na uwezo wa utendaji mzuri wa kazi na Mamlaka zinazohusika katika fani husika.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
* Wahitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi wa miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani za ufundi (ujenzi),
* Wahitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya miaka mitatu kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali katika fani za ufundi (ujenzi),
* Wenye cheti cha Majaribio ya Ufundi Hatua ya 1 kutoka Chuo cha ufundi (ujenzi) kinachotambuliwa na Serikali,
* Wenye Stashahada ya kawaida katika fani ya ufundi (ujenzi) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS C

The deadline for submitting the application is 12 March 2021

CLICK HERE TO APPLY

JOBS

Leave a Reply